Shia Youth Development Project - Uplifting African Shia Youth Through Education
Main Links
SYDP Partnerships
SYDP, under the auspices of Bilal Muslim Mission Moshi branch, works hand-in-hand with other Bilal branches, KSI Jamaats, WIPAHS, Al-Itrah Foundation, Dar-ul-Muslimeen and Madrasah Ameerul Mu'mineen (Matuga) to further the cause of Ahlul-Bayt (a.s.). More»
Other Links

* BILAL Moshi
* Kileo
* TPC
* Eye Camps

Photo Album

               Click here »

 

 
STUDENTS
    
Name: MAULID JUMAA
Address: NAMANGA
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 30/9/1985



"Kuhusu Project hii ni kuwaomba waanzilishi kuiendeleza kwakadri wawezavyo ili kuwanufaisha wengi zaidi"

Name: YASSIN TAWAKKAL
Address: DODOMA
Course: Motor Vehicle Mechanics
Birth Date: 28/12/1985


"Maoni yangu kuhusu project hii ni kwamba inaendelea vizuri. Tangu nimeitika hapa naweza kujua mambo ya dini yangu pamoja na ufundi niliochukua"

Name: HARUN QASIM ALLY
Address: DODOMA
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 09/10/1982

"Nimepata kufahamu mambo mengi ya dini na itanisaidia kupata ajira. Nitafanya mambo yafuatayo:
-Kuanzaisha jumuiya itakayo usisha madhehebu na kuwafundisha masomo, Kuanzisha maktaba ya dini na kuajiri waalimu wenye ujuzi katika vtuo vya kufundishia dini"

Name: KHALID IDDY SALUM
Address: DODOMA
Course: Motor Vehicle Mechanics
Birth Date: 20/7/1985

"Project hii ni nzuri kwa sababu inatuinua vijana ili tuweze kuajiriwa au kujiajiri na inatupatia elimu ambazo zinaendana na wakati huu wa sayansi na teknolojia na utandawazi. Nawaomba viongozi wa project hii waiendeleze; isiishie kwetu"

Name: HASSAN ALLY SAID
Address: DODOMA
Course: A-LEVELS
Birth Date: 18/9/1985

"I intend to become a journalist. My ambition is to stimulate the formation of a strong African Jamaat through imparting strategic skills from the knowledge I have acquired and also provide financial support from my income"

Name: ZAMAYONI MWINYIMADI
Address: DODOMA
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 14/4/1984



"I agreed to this project because after completion of my studies, I dream to unify all African Shias for the establishment of an African Jamaat"

Name: HABIB A. RAMADHANI
Address: DODOMA
Course: Domestic Electical Installations
Birth Date: 11/12/1985



"Ningependelea zaidi kwamba project hii iendelee na ninamatumaini kwamba ikiendelea basi Mashia watakuwa wengi"

Name: BAQIR KHATIB
Address: MOSHI
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 01/5/1986

"Nimefurahia kwanza nimepata ujuzi ambao utakaoniwezesha kujikimu kimaisha pia nimenufaika kupata elimu ya dini ili nitakapo rudi katika jamii yangu niweze kuwafundisha na kuwaonya katika mambo yasiyofaa"

Name: NUHU HUSSEIN RAMADHAN
Address: MOSHI
Course: Motor Vehicle Mechanics
Birth Date: 01/5/1985

"Madhumuni ya kuja katika kitengo hiki ni kujifunza haki na kuepukana na batili. Faida niliyoipata hapa ni kubwa kiasi fulani jambo lakufanya nikwamba baada ya kutoka hapa inanilazimu kujiendeleza zaidi"

Name: JABIR SWALEH KIMARO
Address: MOSHI
Course: Motor Vehicle Mechanics
Birth Date: 13/7/1986

"Maoni yangu ni kwamba project hii ya SYDP inafaa sana, nimepata mambo mengi kama dini ya Kiislam ambayo ni ya dunia na akhera na ufundi stadi na katika kijiji chetu mimi nimshia peke yangu na namwomba Mungu anijalia ili papatikane Mashia wengi pindi nikakaporudi"

Name: SALIM HASSAN MWALUPA
Address: MOMBASA
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 18/6/1978

"After completion of my studies; I dream to unify the African Shias for the establishment of an African Jamaat; this will be through propagating this, sense of unity among us, collecting funds for the project as well as teaching s of strategic measure for consoldidating it"

Name: JAFFAR SALIM
Address: MOMBASA
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 12/11/1986


"Shukran nyingi. Juhudi ii ifaulu kwani imesaidia watu wengi sana, kwa hata wale wenye uwezo huu naomba wajiunge ili waweze kuwaendeleza vijana wa kishia wengine"

Name: SAMEER TWALIB
Address: TANGA
Course: Refrigeration and Air Conditionering
Birth Date: 24/12/1988




"Project hii ni nzuri pamoja na masomo yake. Pia ni project ambayo itawawezesha Waislamu kiuchumi"

Name: ADINAN YUSUFU IBRAHIM
Address: KONDOA
Course: Civil Draughting
Birth Date: 27/12/1981




"Malengo yangu ya baadae ni kujikwamua kiuchumi na kufanya Tabligh ya dini ya Kiislamu"

Name: MUSTAFA S.PEMBE
Address: TANGA
Course: ELECTRIC
Birth Date: 31/1/1983


"Hasa kilichonifanya kuwa Mshia ni juu ya mfumo mzima wa Kiislamu na kuuzindua Umma wa Kiislamu kuhusu imani ya Qur'an na Ahlul Bayt na kujiendeleza kimaisha"

Name: ZARAFI HASHIM ABDALLA
Address: LINDI
Course: ELECTRIC
Birth Date: 27/10/1985



"Kilichonivutia hapa SYDP ni kujiandalia mustakhabari nzuri wa kimaisha na kuzinduwa Umma wa Kiislamu kuhusu imani sahihi ya Qur'an"

Name: BASHIRU SELEMANI
Address: DODOMA
Course: ELECTRIC
Birth Date: 09/11/1984

"Nimefurahi sana kupata nafai ya kujiendeleza na masoma ya dini na ya VETA. Baada ya kumaliza nitamshukuru Mwenyezi Mungu ili nipate kuwakomboa Waislamu wale ambao hawapo katika dini ya haki"

Name: JUMA ANASI MOHAMED
Address: DODOMA
Course: ELECTRIC
Birth Date: 20/4/1988

"Malengo yangu ni kwamba nitakapojaaliwa na Mwenyezi Mungu nijenge msingi mzuri wa kimaisha, kuitambua na kuitangaza imani sahihi aliyotuachia Mtume Muhammad (SAWW) ambayo ni Qur'an na Ahlul Bayt"

Name: ALLY J. MWENDA
Address: KONDOA
Course: ELECTRIC
Birth Date: 18/4/1986


"Ninafikiria juu ya project hii iendelee kwa kufundisha wanafunzi wa Kishia kwa elimu zote mbili - elimu ya Ahera na na ya dunia ili waweze kukabiliana na maisha yao"

Name: IBRAHIM S. KINGWA
Address: PANGANI
Course: ELECTRIC
Birth Date: 04/12/1986



"Lengo maalum ni kujitafutia ajira au kupata ajira ya kuajiriwa na kuweza kuendeleza maisha na kujikimu kimazingira katika maisha ya sasa"

Name: MUSTAFA ISSA BIRA
Address: KONDOA
Course: Industrial Woodwork
Birth Date: 10/10/1988



"Baada ya kumaliza masomo, nikirudi nyumbani naendelea na Tabligh kama tulivyokuwa tunafanya mimi na Mwalimu wangu"

Name: HUSSEIN MASAI WILSON
Address: MOSHI
Course: Industrial Woodwork
Birth Date: 02/03/1987

"Project ya SYDP ni nzuri sana, kwani itawasaidia vijana wa Kishia kujiima kiuchumi na kujiendeleza kimaisha. Ni lazima niwe nimepata elimu ya kutosha ili niweze kukabiliana na upinzani utakaojitokeza ili tuweze kueneza Ushia, Insha-Allah-Taala"

Name: RAJABU ABDALLA
Address: SINGIDA
Course: Motor Vehicle Mechanics
Birth Date: 28/8/1985

"Nilipokuwa nyumbani nilikuwa na hamu sana ya kusoma mbali na nyumbani. Hivyo nimefurahi kupata nafasi hii (na pia nawaomba wengine wakishapata nafasi kama hii waifanyie kazi, waache mchezo)"

Name: SADIQ ABUSHIR KINGWA
Address: PANGANI
Course: Motor Vehicle Mechanics
Birth Date: 21/3/1987

"Lengo ni kuendeleza Ushia kwa vijana wenzangu na kuutangaza katika jamii mbalimbali. Pia nitatumia ufundi wangu niliouupata katika project hii kwa kuwasaidia maskini na mayatima"

Name: HUSSEIN SAIDI ZANI
Address: TANGA
Course: CATERING
Birth Date: 12/3/1983


"I say to my fellow Muslims tha our Holy Prophet Muhammad (SAWW) has said that: "To acquire knowledge is a duty of a Muslim Man and Muslim Woman"

Name: MOHAMED PONDA
Address: KIGOMA
Course: CATERING
Birth Date: 14/4/1984

"Nimepata nafasi ambayo nilikuwa namwomba Mwenyezi Mungu ili niweze kuendelea n masomo, kuifahamu dini yangu, kujikwamua na umasikini na pia kuisaidia ndugu zangu na jamii yangu ya Kiislamu kwa ujumla"

Name: FATUMA MAGANGA
Address: MOSHI
Course: TAILORING
Birth Date: 17/4/1974

"Maoni yangu ni kwamba kituo hiki kinafanya kazi ya kuwajenga Mashia vijana ili wawe Mashia watu wazima wenye msimo wa dini. Ingekuwa jambo nzuri kama SYDP igeanzisha madrasa ya kinamama, wasichana kakika nyaja zote za kimada na kiroho yaani 'secular and spiritual' "

Advertise Support SYDP

 

 
Updates

Coming Soon
The Online Portofolio of African Shia Student's studying in VETA, Moshi, Tanzania

Contact Us
We would love to hear from you. Please write to us on sydpmoshi@yahoo.com

The Project
SYDP is a novel concept and was first introduced in Bilal Muslim Mission-Moshi branch in December 2004. The idea is to raise the Socio Economic status of the African Shia family through educating the youth and giving them vocational technical skills, side by side with the standard religious training. More»
Advert


 

 


 
© 2006 - Shia Youth Development Project - All Rights Reserved